Tuendeshe siasa kistaarabu kwa amani na ustawi wa taifa
VUGUVUGU la uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwakani, limeanza kushika kasi huku kukiwa na matamko mbalimbali ya viongozi wa vyama vya siasa.