slot gacor
slot gacor
slot gacor
Morocco, Senegal zaongoza 11 bora AFCON 2025 | Nipashe

Morocco, Senegal zaongoza 11 bora AFCON 2025

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 03:25 PM Jan 22 2026
news
Picha Mtandao
Morocco, Senegal zaongoza 11 bora AFCON 2025.

SHIRIKISHO la Soka la Afrika (CAF) limetangaza kikosi bora cha wachezaji 11 wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), iliyomalizika Jumapili iliyopita nchini Morocco.

Katika kikosi hicho, Morocco na Senegal zilizocheza fainali ya michuano hiyo, zimetoa wachezaji wanne kila mmoja, huku Nigeria ikitoa wachezaji watatu.

Senegal ilitwaa kombe hilo baada ya kuifunga Morocco bao 1-0 kwenye fainali.

KIKOSI KAMILI

GOLIKIPA

Yassine Bounou (Morocco)

WALINZI

Achraf Hakimi (Morocco)

Moussa Niakhaté (Senegal)

Calvin Bassey (Nigeria)

Noussair Mazraoui (Morocco)

VIUNGO

Ademola Lookman (Nigeria)

Pape Gueye (Senegal)

Idrissa Gueye (Senegal)

FOWADI

Brahim Díaz (Morocco)

Victor Osimhen (Nigeria)

Sadio Mané (Senegal)

Chanzo: CAF